Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Habari ni kwamba hao watu hawaachani jiandaeni kuaibika mnaita kutoka povu eeeeh! Wale mnaotoka povu jiandaeni kuaibika na maneno yenu hayo
 
tatizo la hao mastaa wetu wameshazoea kutumika sana, sasa mwishon zitaota magaga
 
Kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi,bongo movie hawajawahi kuwa serious muda wote wanaigiza tu
 
We kweli umechelewa kuja mjini.

Wakati Wolper anasema Ali ndio Mwanaume wake wa Kwanza hapa mjini ulikuwa unapalilia zao gani kijijini kwenu?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa jibu mujarabu kabisaa

maana nilitaka kumjibu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa jibu mujarabu kabisaa

maana nilitaka kumjibu
Enzi hizo huyu mkulima alikuwa analima viazi kijijini kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…