edwin george
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 1,218
- 981
Habari ni kwamba hao watu hawaachani jiandaeni kuaibika mnaita kutoka povu eeeeh! Wale mnaotoka povu jiandaeni kuaibika na maneno yenu hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hv ni kuchanga au kuchanganya maana na ww huelewek sasahivi ni hit and run au eat and run,,maana wana jf mnanichanga!!!
Wanaume wa Dar uwanja wenu huu
KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
Teh teh kama namuona anamuita raj huku kafumba macho mbele ya ndugu mwandishi . Mmakonde alikuwa anajitanua sana na mzungu poli wake na rangi mbili kama kapigwa putiJamani Raj kaachwa? [emoji23][emoji134]
Ooh Raj wake
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa jibu mujarabu kabisaaWe kweli umechelewa kuja mjini.
Wakati Wolper anasema Ali ndio Mwanaume wake wa Kwanza hapa mjini ulikuwa unapalilia zao gani kijijini kwenu?
Wanaume wa Dar uwanja wenu huu
Enzi hizo huyu mkulima alikuwa analima viazi kijijini kwao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] asante kwa jibu mujarabu kabisaa
maana nilitaka kumjibu
HahaKipochi manyoya kishasuguliwa vya kutosha
Kipochi manyoya,watu wana maneno mazuri[emoji16] [emoji16]