Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

ATM itakuwa mbovu haisomeki,kuachana kisasa unamwambia MTU ATM mbovu network not reachable anasepa kimyakimya.mwanaume suruali kaa mbali nami.....x3
 
Wolper hata akivaa nguo bado Harmonize atamuona akiwa Uchi coz kashamdukua!!
 
Kuna yule alievuma sana Kwa kuuza magazeti hasikiki SAA hizi au sababu bandarini kumekauka haziingii contena, maana alisema Kwa siku matumizi yake ni laki tano.
 


KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
Wolper alimpendea harmonize kwakuangalia picha za boxer Dogo akizokuwa akitangaza,Dogo alionyesha zakari ya maana bi Dada akadata,maana inasemekana bi Dada ni ziwa Tanganyika ,sasa ajabu ni kuwa alichokuwa akitaka na kuamini kitamfaa sicho alichokuta,bado Ramboooooooooo tu,inabidi ????
 
natamani ingekuwa kila unaposex na mtu ambaye sio mke wako kiungo kimoja cha mwili wako kinapotea/kinaondokaa naona heshima ingekuwepo
 
Amezidi kuexpose mapenzi mitamdaoni yakowapi mkongooooo[emoji23][emoji23][emoji38]
 
Huyu dem alimpiga mshkaji wangu kizinga cha elfu thelathini mwaka jana mwezi wa tisa nakumbuka na sms niliiona jamaa yangu huyu huwa ni mtu wakuanda matamasha ya bongo fleva,tangia siku hiyo niliwadharau sana hawa bongo movie
 
Nakumbuka kale ka wimbo "hata mpenz niliye naye nahic cku atanikimbia"" daaaaaah kweli yametimia
 
Huyu dem alimpiga mshkaji wangu kizinga cha elfu thelathini mwaka jana mwezi wa tisa nakumbuka na sms niliiona jamaa yangu huyu huwa ni mtu wakuanda matamasha ya bongo fleva,tangia siku hiyo niliwadharau sana hawa bongo movie
Haha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…