Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kuna watu wanajifanya wa mjini kweli kumbeee ..Enzi hizo huyu mkulima alikuwa analima viazi kijijini kwao
KUMBE na Wanaume wa Dar mnapigwa VIBUTI?
mke wa kaka yao ni mzuri, unique na amekaa kimke mkeWCB wanapenda wamama...
Wanamuiga kaka yao
Udada poa wa ksayansi, may be kanusa mgodi mwingine siku c nyingi utasikia kaibua toleo jipya yaan nambalessIla wana moyo wa chuma. Hawana tofauti na wale madada poa
Kwahyo mkuu unasema bado panya wamo mdomoni?,?Sio kila kitu mnasingizia wanaume wa dar,huyo kijana hana zaidi ya klismas tano hapa daslama,doga katoka ntwala juzijuzi tu.
Hata Mimi Uwoya Namkubali Kinyama, Ndikumana Alimfaidi Sana Tena Akiwa Mbichi KabisaMimi namtaka uwoya ata akinichuna poa tu
[emoji28] [emoji28] [emoji28] we jamaaKaachwa Meek Mills with net worth 12m $ ndio itakuwa Chinga Boy ndio kwanza kanunua kiwanja cha miguu 30 kwa 30 juzi huko mavurunza.