Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Wolper ampiga kibuti Harmonize, Afuta picha zake zote na za WASAFI

Ningekuwa mimi harmonize piga mashine daily mpaka akome, najua one day ataondoka ugali dona mipweza kibao kila siku dozi.
 
Ningekuwa mimi harmonize piga mashine daily ***** mpaka akome, najua one day ataondoka ugali dona mipweza kibao kila siku dozi.
Mnajuaga kuongea sana watu kama nyie na vibamia vyenu wenye ndonga hatuongeagi sana.
Afu mnaojisifiaga sana na kupania siku ya siku ngoma ipo doro
 
Na Daima usithubutu kumwamini Mwanamuziki au Mwigizaji Tanzania hii.Wapo walioharibikiwa ujauzito wa mapacha pia wapo walioigiza kubakwa na kuna 'walioshoot' China hadi leo inahaririwa....
Ni kama wanasiasa tuu wakiona twaenda watakako basi hujiona washindi na huendeleza ujuha sao...




Dunia Uwanja wa Fujo
Tatizo ujinga mwingi kila sehhemu ya mwili, kwa mengi wa mastaa.
 
Hawa mademu wa bongo move nishida tu.. bola asepe.. Hatakama angemkujoza vipi alishakua gumegume yule alishameza mihigo ya jang`ombe mingisana sana tu
 
Mara ooohh nina mimba ya Harmonize
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] aiseeee I hope ungeongea kwa voice
 
Back
Top Bottom