Lile bifu liliisha, hata juzi nakumbuka wolper alipost picha ya behind za scene ya wimbo wa diamond wema akamjibu, sidhan kama wana bifu, ila kwa style hii ya wolper kujilavusha kwa zari naona mama ubaya roho itamtokaHawaelewani ..km kuna kipindi unakumbuka wolper alimwambiaga wema km vipi amnunulie kitanda na godoro akae atulie...ikazua ugomvi mpk mama wema akaingilia..
Ila binamu toka domo awe na zari sijasikia michepuko aiseeh, kwel zari kiboko ya domo sijui anampa nnZari na diamond na wadumu milele na milele
Ni kweli kabisa sio wake yule mtoto ni wa Ney wa mitego.Ila binamu toka domo awe na zari sijasikia michepuko aiseeh, kwel zari kiboko ya domo sijui anampa nn
Halafu nasikia kweli tiffah sio wa domo jaman, loh nyie huyu domo namuonea huruma yupo kwenye wakat mgumu da
Hahahahahhaha weee nomaNi kweli kabisa sio wake yule mtoto ni wa Ney wa mitego.
Hahahahahaaaaaaaa,umeua mkuu!Ni kweli kabisa sio wake yule mtoto ni wa Ney wa mitego.
Hahahaha..we umekosea yule ni wa dudu baya bhana!!Ni kweli kabisa sio wake yule mtoto ni wa Ney wa mitego.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] samahani dada angu nilijua unataka jibu la baba wa mtoto.Umeulizwa kumamayo au unawashwa, mxieeee
Sio wa diamond ni wa nani, binamu acha umbea wewe hivi huoni ule mdomo wa tiffah copy kabisa na wa diamond......zari kaweza kumtuliza tehIla binamu toka domo awe na zari sijasikia michepuko aiseeh, kwel zari kiboko ya domo sijui anampa nn
Halafu nasikia kweli tiffah sio wa domo jaman, loh nyie huyu domo namuonea huruma yupo kwenye wakat mgumu da
Naskia rommy kaambiwa aanze kujitegemea ndo imekua ishu, yule nae anataka maisha ya mtelezo kama mwanamke tehHivi what's going on between mondi na kakaake Romy Jones
Ila binamu toka domo awe na zari sijasikia michepuko aiseeh, kwel zari kiboko ya domo sijui anampa nn
Halafu nasikia kweli tiffah sio wa domo jaman, loh nyie huyu domo namuonea huruma yupo kwenye wakat mgumu da
Ni kweli kabisa sio wake yule mtoto ni wa Ney wa mitego.
Kweli sio wake ni wa Kingwendu.Hahahahahhaha weee noma
Naskia rommy kaambiwa aanze kujitegemea ndo imekua ishu, yule nae anataka maisha ya mtelezo kama mwanamke teh
Mweeeee kumbe iko ivo...Naskia rommy kaambiwa aanze kujitegemea ndo imekua ishu, yule nae anataka maisha ya mtelezo kama mwanamke teh
Eeeh alikua kishazoea ananunuliwa hadi boxa na anavaa sare sare na baba tee kasikia kujitegemea kanuna ha ha chezeiya bureeMweeeee kumbe iko ivo...