Wolper amsifia Zari kumtuliza Diamond

Wolper amsifia Zari kumtuliza Diamond

Zari ni homa ya Jiji....nachompendea yule mama ni mkimya hana makuu ka ma ubaya!
 
Hawaelewani ..km kuna kipindi unakumbuka wolper alimwambiaga wema km vipi amnunulie kitanda na godoro akae atulie...ikazua ugomvi mpk mama wema akaingilia..
Lile bifu liliisha, hata juzi nakumbuka wolper alipost picha ya behind za scene ya wimbo wa diamond wema akamjibu, sidhan kama wana bifu, ila kwa style hii ya wolper kujilavusha kwa zari naona mama ubaya roho itamtoka

Lile chambo la wolper kuwa atamtafutia wema godoro na chumba ajulikane anaishi wapi lilimchoma ndo kwa mara ya kwanza wema akahama kwao ndo akaenda kukaa kwenye nyumba yake ya milion mia nne( sitaki binamu usinikumbushe mie watu na nyumba za0)
 
Zari na diamond na wadumu milele na milele
Ila binamu toka domo awe na zari sijasikia michepuko aiseeh, kwel zari kiboko ya domo sijui anampa nn

Halafu nasikia kweli tiffah sio wa domo jaman, loh nyie huyu domo namuonea huruma yupo kwenye wakat mgumu da
 
Ni kweli kabisa sio wake yule mtoto ni wa Ney wa mitego.
 
Hivi what's going on between mondi na kakaake Romy Jones
 
Ila binamu toka domo awe na zari sijasikia michepuko aiseeh, kwel zari kiboko ya domo sijui anampa nn

Halafu nasikia kweli tiffah sio wa domo jaman, loh nyie huyu domo namuonea huruma yupo kwenye wakat mgumu da
Sio wa diamond ni wa nani, binamu acha umbea wewe hivi huoni ule mdomo wa tiffah copy kabisa na wa diamond......zari kaweza kumtuliza teh
 
shkamoo zenyu wakuba.napta ila ntarud kusoma mawazo yenu zaid na zaid
 
Back
Top Bottom