PRINCE PRIS
JF-Expert Member
- Mar 29, 2015
- 347
- 587
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hawa wanawake bwana, inamaana leo ndo wameona jamaa ana sura mbaya.? Inamaana wakati huyo anayemuita shoga pacha wake anamvulia chu** hakuona kama jamaa ana sura mbaya.?
mbona umechangia?Jiadhari sn kuchangia hoja za namna hii. Hata kama wewe ni mchambuzi kiwango cha phd!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uyo kwenye picha ndo Sabrina? Namuomba?Wolper yanamuhusu nini,,,siku wakirudiana aibu yakee
Njaa mkuu!Hawa wanawake bwana, inamaana leo ndo wameona jamaa ana sura mbaya.? Inamaana wakati huyo anayemuita shoga pacha wake anamvulia chu** hakuona kama jamaa ana sura mbaya.?
Ndo maana Mungu alisema muishi na sisi kwa akiliHawa wanawake bwana, inamaana leo ndo wameona jamaa ana sura mbaya.? Inamaana wakati huyo anayemuita shoga pacha wake anamvulia chu** hakuona kama jamaa ana sura mbaya.?
that time mchizi alikua anakipiga huko Cyprus so kuikua uelekeo wa life.nafikiri nae alikua akitamani kua WAG wa mwanasoka nguliHawa wanawake bwana, inamaana leo ndo wameona jamaa ana sura mbaya.? Inamaana wakati huyo anayemuita shoga pacha wake anamvulia chu** hakuona kama jamaa ana sura mbaya.?