Wolper amtolea povu Ndikumana kisa Irene Uwoya

Wolper amtolea povu Ndikumana kisa Irene Uwoya

Alivyokuwa Pesa aliitwa Handsome Leo hana kitu anatukanwa mpaka na wasiokuwepo.
 
Mapenzi ni ya wawili, aache mdomo
Huo muda bora atumie kutibu uchi
Eve [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli Maana anasifika kwa papuchi ake kutema bidada. Angekuwa anajiona yeye mkamilifu basi angevalishwa na yeye shera at least tungesema unajua kitu kuhusu ndoa. Mwenzangu na Mimi Hata mtoto wa kuachiwa hana.
 
Ugomvi wa watu waliolala pamoja kwenye shuka na kujambiana na kuzaa sio wa kuingilia kiasi hichoAtashangaa siku akisikia uyo pacha wake amerudiana na baba watoto wake
 
Eve [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na kweli Maana anasifika kwa papuchi ake kutema bidada. Angekuwa anajiona yeye mkamilifu basi angevalishwa na yeye shera at least tungesema unajua kitu kuhusu ndoa. Mwenzangu na Mimi Hata mtoto wa kuachiwa hana.
Kwanza harmonize Kamzidi ndikumana kwa ubaya,
 
Uwoya si alisema anapenda wanaume wenye sura ngumu.. Ila akasema anampenda Nape
 
cb852b278a655b622590450182e643a6.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakina Aslay Ndo Saiz Yake, Watuwazima Wanaongeleaga Sura! Na Hamo Anasura Nzuri Ya Wap? Akanywe Gongo Zake Kule
 
wolper ndio alikuwa msimamizi wa harusi ya Uwoya? Haahaaaaaaa, watu hawajui wasimamizi ndio wasulihishi na walioshikilia mustakabl wa ndoa yenu kwenye ushauri? Pole yake ndikumana alimpenda mwanamke wa kwenye movie nae alifikiri ndoa yake itakuwa halisia?! Pole sana...eti nilimuona kwenye muvi nikampenda haya pamabana na muvi zenu.
 
Back
Top Bottom