Wolper amtolea povu Ndikumana kisa Irene Uwoya

kiki

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Hawa wanawake bwana, inamaana leo ndo wameona jamaa ana sura mbaya.? Inamaana wakati huyo anayemuita shoga pacha wake anamvulia chu** hakuona kama jamaa ana sura mbaya.?
Njaa mkuu!
 
Kwa mara ya kwanza ninampa huyu dada big up
 
Hawa wanawake bwana, inamaana leo ndo wameona jamaa ana sura mbaya.? Inamaana wakati huyo anayemuita shoga pacha wake anamvulia chu** hakuona kama jamaa ana sura mbaya.?
Ndo maana Mungu alisema muishi na sisi kwa akili
 
Hawa wanawake bwana, inamaana leo ndo wameona jamaa ana sura mbaya.? Inamaana wakati huyo anayemuita shoga pacha wake anamvulia chu** hakuona kama jamaa ana sura mbaya.?
that time mchizi alikua anakipiga huko Cyprus so kuikua uelekeo wa life.nafikiri nae alikua akitamani kua WAG wa mwanasoka nguli
 
Wolper nae mshamba tu,apambane na uvundo unaotishia amani za wanaume anaoingia Nao katika mahusiano. Na akome kuingilia mambo ya watu,kwani uwoya hajaiona hizo post za ndikumana,mbona hajazijibu!!!yeye ndio ana uchungu sana au?? Kapewa jibu zuri sana,jibu mubahsara apunguze kimbelembele
 
Social median, humati sijui zina maana gani?

Sent from Ili iweje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…