Wolper amwangukia Mkongo

Wolper amwangukia Mkongo

Hahahaaaa binamu kashindikanaa....vipi hajaambulia hata kibao cha uso? eti warumi....hujakoswa koswa kweli...?

Bahat nzur alikuwa anawaza, sasa sijui na wenyew wanawazaga nn , ikabid niongeze mwendo mwenzangu
 
Last edited by a moderator:
Bahat nzur alikuwa anawaza, sasa sijui na wenyew wanawazaga nn , ikabid niongeze mwendo mwenzangu

Hahahaaaa...sipati picha ulivyotibua vumbii....me nlishawahi kupigwa kibao na chizi mwanaumee...mwee nliogopa hatariiii....
 
Uzi maalum huu......nimewapenda wote.......na kilichonivutia ni kuhusu Vera Sidika.....Huddah......na Zari.....
Ngoja niendelee kunata na beat hapahapa.........
 
Uzi maalum huu......nimewapenda wote.......na kilichonivutia ni kuhusu Vera Sidika.....Huddah......na Zari.....
Ngoja niendelee kunata na beat hapahapa.........

Sema mi namuona vera wa kawaida sana labda ---- na hips kidooogo lakin appearance kawaida 2
 
Sema mi namuona vera wa kawaida sana labda ---- na hips kidooogo lakin appearance kawaida 2

Zari ni shida........huo uleg tu....balaa......kaHuddah huwa najienjoy sana nikikaangalia........Vera yeye ni mashambulizi tu ya kumjibu Huddah......
 
Attachments

  • 1414759354609.jpg
    1414759354609.jpg
    49.6 KB · Views: 149
  • 1414759371210.jpg
    1414759371210.jpg
    30.4 KB · Views: 143
  • 1414759385094.jpg
    1414759385094.jpg
    36.5 KB · Views: 138
Back
Top Bottom