Mhh..sasa alijuaje kama nyaya zinagusanaa..?
Bahat nzur alikuwa anawaza, sasa sijui na wenyew wanawazaga nn , ikabid niongeze mwendo mwenzangu
Bahat nzur alikuwa anawaza, sasa sijui na wenyew wanawazaga nn , ikabid niongeze mwendo mwenzangu
Yaan umepaona hapo tu mwisho basi usijelowaaa
Kumbe kwa maandishi tu huwa zinalowa
Yawezekanaaaa labda
Za hasubuhi binamu
Uzi maalum huu......nimewapenda wote.......na kilichonivutia ni kuhusu Vera Sidika.....Huddah......na Zari.....
Ngoja niendelee kunata na beat hapahapa.........
Sema mi namuona vera wa kawaida sana labda ---- na hips kidooogo lakin appearance kawaida 2