princewilly
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 259
- 528
Wakiugua utasikia ooh nimefanya kazi nyingi Sana ila nimedhulumiwa mara bado sijalipwa,wakitingwa Sana wanakimbilia ikulu.Hawa Kwa Kujikweza na kutafuta Kick hawajambo,yetu macho tunasubria waanze kutembeza bakuli la matibabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Boss lady!? Shauri yako...! Maandishi hayafutikiMalkia wa filamu Jacquline Wolper Massawe amenunua kopi moja ya albamu ya Gold ya muimbaji Barnaba Classic kwa dola 3000 sawa na tsh million 7
Hayo yamefanyika kwenye listening paty ya albamu hiyo uliofanyika Alhamis hii katika ukumbi mmoja ulio karbu na hotel ya sea cliff masaki jijini Dar es salaam
"Kabla ya mimi kuwa boss lady alikuwa anakuja kwenye event zangu na kufanya show bure. Kwahiyo Barnaba kwangu ni mtu muhimu sana nimenunua hiyo albamu kwa dola 3000 kama kumsuport kwa sababu kwangu ni mtu muhimu" alisema WolperView attachment 852255
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa tena sifuri mbiliNimeingia thread isiyo nihusu, toa 00 mbili ibaki 7 yenye sifuri 4.
Hahahahaha aisee watu mna dharau sanaNimeingia thread isiyo nihusu, toa 00 mbili ibaki 7 yenye sifuri 4.
Waigizaji kuwatofautisha na ukweli ni ngumu sana!Nimeingia thread isiyo nihusu, toa 00 mbili ibaki 7 yenye sifuri 4.