Morning Glory1
JF-Expert Member
- Oct 23, 2019
- 237
- 381
Barnaba anatumia ufundi mwingi sana katika kutengeneza ngoma...wakati gemu la sasahivi aliitaji ufundi mwingi..ukiimba takataka tu kama zile za mr.nice unatoboaBarnaba anabahati mbaya sijawahi muelewaga zaidi ya wimbo mmoja tu ule wa dont call me lover boy na kwenye chorus ya wimbo wa shilole wa shimo la wengi sijui
Sent using Jamii Forums mobile app