Wolper anunua kopi moja ya albam ya Barnaba(GOLD) kwa sh milion 7

Ananikumbusha mtu mmoja alinunua albam yawu Tang Clan anasikiliza mwenyewe ndani hahaaaa
 
Barnaba anabahati mbaya sijawahi muelewaga zaidi ya wimbo mmoja tu ule wa dont call me lover boy na kwenye chorus ya wimbo wa shilole wa shimo la wengi sijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa wahisi Zari anaigiza ubosslady

Wakiumwa kidogo tu bakuli linatembea
 
Mimi nitakuwa wa kwanza kufukua makaburi...
 
Tatizo la hawa wakiumwa tu wanaanza kuwaomba michango folowazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…