Ukiona mfanyakazi wa "sheli" anaendelea kukwambia usogeze gari mbele huku wewe unaona mdomo wa tanki umeshafika usawa wa pump stuka!. Shuka kwenye gari simama kwenye pump angalia kiasi cha mafuta na pesa ulichowekewa. Huwa wanawapenda wanaobaki kwenye magari na kuagiza...weka ya 50000....unawekewa ya 500..kisha unaona kulia kama huyo wolper.