Wolper Gambe akiwa na Penny batani

Wolper Gambe akiwa na Penny batani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kwa wale wanaowafahamu vizuri jackline wolper na bibie penny , watakuwa wamenisoma vizuri nini kiliendelea baadae. Kama huelewi pita ivii:banghead::banghead:

attachment.php



Ni kweli kabisa wolper, kila mtu anafanya uchafu pengine hata kushinda wa kwako, na uko sahihi kusema kila mtu ana Uhuru wa kufanya anavyotaka ila kumbuka wewe ni super staa aka kioo cha jamii. Ndo ujue sasa jinsi ya Ku ji behave na kuficha uchafu wako mbele ya Jamii, we jiulize huyo team ukweli anapata wapi habari zako? Jipange upya aiseeh.
Huyu Dada amekuwa mwiba Mkali kwa mastaa wa apa bongo na wote wanaojiita watoto wa mujuni, ni homa ya jiji, watu wanahaha kumfahamu na kujua anapata wapi habari za ndani na za siri kuhusu hawa mastaa wa kibongo?, hakuna anayejua, kila mtu anashangaa na kujiuliza, magazeti na blogs mbali mbali zimekuwa zikimzungumzia yeye. Japokuwa wengi wamekuwa wakimponda na kumuita mzushi na muongo, siku hadi siku followers wanazidi kumiminika kwa ajili ya kupata uji wa moto kuhusu mastaa mbalimbali apa bongo.

Ivi karibuni amefichua siri chafu za mwanadada jackline wolper ikiwemo ile ya usagaji pamoja na ya kukutwa akijiuza uko Nairobi na jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la mwami. Kitendo hicho kimemchanganya sana wolper na kumkosesha amani kwa kufuatiliwa na huyo anayejiita team ukweli na uwazi na kutoa siri zake za ndani.


Hiki ndicho alichokiandika kwenye mtandao wa instagram.





Msanii nyota kwenye filamu za kibongo tu, Jackline Wolper ameibuka na kusema kuwa anachukizwa na wanafunzi wengi kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umri mdogo jambo ambalo ni hatari sana kwa future zao.
Akizungumza na Maskani Bongo msanii huyo alisema" Unajua sisi wakati tunasoma hatukuanza mapenzi mapema kama hawa watoto kiukweli mimi nimeanza kujua tendo nikiwa mtu mzima kabisa kwani nilikuwa naogopa sana lakini kwa sasa watoto hawa uwoga hata kidogo utakuta mwanamuziki ana miaka 12 ameshajua mapenzi hii ni hatari sana na akifisha miaka 18 si ndoa atakuwa balaa" Alisema Wolper kwa uchungu.
 

Attachments

  • 1396270642788.jpg
    1396270642788.jpg
    40.5 KB · Views: 5,699
Hizi ndio thread kijinga kabisa kama umeamuwa kushare habare andika kitu ksmili ueleweke.

Matola na wewe umeshaanza, sasa usichoelewa kitu gani?,maelezo huelewi hata picha? Sio issue unaweza kuipotezea pia.
 
Last edited by a moderator:
Nimefurah kumuona mtu fulan humu atuchangamsheee heeeee mambo ya kikubwaaaaa
 
Hizi ndio thread kijinga kabisa kama umeamuwa kushare habare andika kitu ksmili ueleweke.

wolper ni msagaji ofcourse kuna thread hum imeshaongelea sana hayo

sasa hizi picture zinaendeleza zile tetesi zilizokuwa zinawaelekezea hao wawili
 
long time humu nilishawahi kuandika kuhusu hawa masista duu kusagana ila uzi ukawa deleted.......kuna kademu kanachowagonga hawa mastaa wa kbongo ni noma!kana wivu balaa!...juzi demu wangu katongozwa na demu mwingine yaani dar es salaam huu mchezo ndo umekuwa ujanja kwa mademu wengi
 
hii picha inaonekana imepigwa kidaku tena kwa kutumia simu
haki a mama usithubutu kukutwa na bwana pepsi.....
 
long time humu nilishawahi kuandika kuhusu hawa masista duu kusagana ila uzi ukawa deleted.......kuna kademu kanachowagonga hawa mastaa wa kbongo ni noma!kana wivu balaa!...juzi demu wangu katongozwa na demu mwingine yaani dar es salaam huu mchezo ndo umekuwa ujanja kwa mademu wengi

tatizo hamtendi haki kitandani ndo maana wanatafuta namna nyingine
 
Back
Top Bottom