Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unanishangaza una kila tabia ya mwanamke wa uswahilini ila ukiitwa wa kike unakataa unadai we ni wa kiume ndo maana unanichanganya.ila kama kweli ww ni wakiume basi nina hakika utakuwa sio r.i.d.h.i.k.i.....
i can play my part but how abt others yaani mjini pamoja na kuwepo booster zote(dawa za za kuongeza nguvu za kiume) still watu wanashindwa kuzitumia kuwaridhisha wapenzi wao kama nguvu za asili kidogo zinawapiga chenga wanataka wasaidiweje sasa?? ayway na nyie pia mna makosa yenu hamsemi kama hamjaridhishwa mnabaki kutafuta option nyingine.
sure bora utulie tu na mpenzi wako michepuko sio dili ongea nae ueleze tatizo lako ataongeza jitihada,hilo ni janga kwakweli hii imenifanya niache kabisa michepuko
make hata huko michepukoni ni bureee kabisa