Wolper Gambe akiwa na Penny batani

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Kwa wale wanaowafahamu vizuri jackline wolper na bibie penny , watakuwa wamenisoma vizuri nini kiliendelea baadae. Kama huelewi pita ivii:banghead::banghead:






 

Attachments

  • 1396270642788.jpg
    40.5 KB · Views: 5,699
Jamani!!sasa nimeunga dots.thanks warumi
 
Last edited by a moderator:
Hizi ndio thread kijinga kabisa kama umeamuwa kushare habare andika kitu ksmili ueleweke.
 
Hizi ndio thread kijinga kabisa kama umeamuwa kushare habare andika kitu ksmili ueleweke.

Matola na wewe umeshaanza, sasa usichoelewa kitu gani?,maelezo huelewi hata picha? Sio issue unaweza kuipotezea pia.
 
Last edited by a moderator:
Nimefurah kumuona mtu fulan humu atuchangamsheee heeeee mambo ya kikubwaaaaa
 
Hizi ndio thread kijinga kabisa kama umeamuwa kushare habare andika kitu ksmili ueleweke.

wolper ni msagaji ofcourse kuna thread hum imeshaongelea sana hayo

sasa hizi picture zinaendeleza zile tetesi zilizokuwa zinawaelekezea hao wawili
 
long time humu nilishawahi kuandika kuhusu hawa masista duu kusagana ila uzi ukawa deleted.......kuna kademu kanachowagonga hawa mastaa wa kbongo ni noma!kana wivu balaa!...juzi demu wangu katongozwa na demu mwingine yaani dar es salaam huu mchezo ndo umekuwa ujanja kwa mademu wengi
 
hii picha inaonekana imepigwa kidaku tena kwa kutumia simu
haki a mama usithubutu kukutwa na bwana pepsi.....
 

tatizo hamtendi haki kitandani ndo maana wanatafuta namna nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…