Wolper Gambe akiwa na Penny batani

Amiiiiii Mchaga Na Udi wapi na Wapi? na yeye mzungu mambo Perfumes tu hahahaha, nakumbuka enzi hizo ndio alikuwa amekuja mjini na Suruali Zake za Drafti...

hehee umenikumbusha alivyochambagwa na kina wema kaja bongo na pensi za draft
 
Mjini kuchafu jamani,daaah...

"Nlikuwepo":bolt:
 
hehee umenikumbusha alivyochambagwa na kina wema kaja bongo na pensi za draft

Kati ya Irene na wema sepetu ki ukweli jackline anawakimbiza kwa muonekano wa kistaa, nakumbuka hata zamarad aliwahi wapambanisha hatimaye jackline akaibuka kidedea,semeni yote ila huyu kibongo bongo anawakimbiza wenzie kwa pamba
 
Ogopa wale wa dada wa mujini wanaojifanya classic n matawi ya juu ndo kamchezo kao

we jamaa samahani ila ningependa kujua, ww ni ME ama KE? unanichanganya sana ila usinielewe vibaya
 
we jamaa samahani ila ningependa kujua, ww ni ME ama KE? unanichanganya sana ila usinielewe vibaya

We fuata kilichokuleta humu, ukijua mi nina Mbo Au K wewe itakusaidia nn? Wewe humu umefuata kujua jinsia za watu?Au umeambiwa hili jukwaa la jinsia? Kama umekosea njia pita ivi…………
 
Siku izi wanawake wazuri wanasagana na wanaume wazuri wanagongwa sana.
hawa wazuri huwa wanaanza kujihusishaga na mambo ya umodel sijui fashion m atokeo yake wanajiremba mpk basi ndo matatizo yanaanzia hapo
 
Ukiangalia uzuri wa nje hautakuja kuoa ila ukimshirika kuyaona haya mambo hayafaiisha Mungu utapata mke mzuri na haya mambo utakuwa unayasikia uku tu...
yah sure i can see that kumtanguliza mungu ndo kiloa kitu ila huku kuigaiga mambo sio kuzuri wallahi sio kila kitu cha kuiga kwa hali ilipofikia tunakazi sana kukirudisha kizazi chetu kule kilipokuwepo mwanzo!! na kuyaona haya mambo hayafai
 
We fuata kilichokuleta humu, ukijua mi nina Mbo Au K wewe itakusaidia nn? Wewe humu umefuata kujua jinsia za watu?Au umeambiwa hili jukwaa la jinsia? Kama umekosea njia pita ivi…………

Hahhhahhhhahhhhahhhaha safi sanaaaaaaa binamuuu wanajaa taratibuuuu uwiii
 
Amiiiiii Mchaga Na Udi wapi na Wapi? na yeye mzungu mambo Perfumes tu hahahaha, nakumbuka enzi hizo ndio alikuwa amekuja mjini na Suruali Zake za Drafti...

Sasa wanavyosaganaa hiyo harufu kina Penny wanaivumiliaa tu khaa!!!!maana si mwanaumee mmoja aliesemaa hivyoo kua ana harufu si atafute dawaa
 
Hahahaha hii ndo habare ya mjini bwana.....Mungu atulindie vizazi vyetu manake dunia imevaa skin tight.
 
Sasa wanavyosaganaa hiyo harufu kina Penny wanaivumiliaa tu khaa!!!!maana si mwanaumee mmoja aliesemaa hivyoo kua ana harufu si atafute dawaa

Aiseee.. Ngoja nitamuuliza Ngololo maana kasha chapa zote hizi 😉
 
Dinazarde, Mrembo by Nature, Evelyn Salt, mamakibunju, Heaven on Earth, sister, MankaM nasikia wolper na mwenzake walienda arusha kuchuna buzi, kufika mwenzake akapata bwana wa kizungu, akawa anamuibia midola na kumpa wolper amshikie, basi bhana walivyomaliza kuchuna mabuzi wakarudi dar, nasikia shoga yake wolper akawa anamuomba wolper mi dolali yake , wolper si akawa anazingua , rafiki yake kuona vile ndo akamuendea kwa mganga nasikia, akaenda kumroga wolper sehemu zake za siri ziwe zinatema all the time, ndo apo mambo ya mganga yalipozaa matunda, nasikia ata aoshe na jiki papuchi yake bado kitu kinatema mbaya, ndo maana amekuwa hadumu kwenye mahusiano kutokona na harufu ya aja
NB: Hizi ni tetesi tu , inasemekana , so changanya akili ya kuambiwa na ya kwako, mengine yaache apa ap
 
Last edited by a moderator:
hahaaa warumi naona kama panahitajika utafiti kuprove kama pupuchi inatema. tujitolee kumtokea tupate majibu
 
Last edited by a moderator:
hahaaa warumi naona kama panahitajika utafiti kuprove kama pupuchi inatema. tujitolee kumtokea tupate majibu

Umeona binamu eeh? Hilo nalo la muhimu, isije ikawa fununu, inabid nimtafute kijana wa BOT nimpe hiyo kazi halafu aniambie kama kuna ukweli wowote au ni chuki binafsi.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…