Wolper Gambe akiwa na Penny batani

We fuata kilichokuleta humu, ukijua mi nina Mbo Au K wewe itakusaidia nn? Wewe humu umefuata kujua jinsia za watu?Au umeambiwa hili jukwaa la jinsia? Kama umekosea njia pita ivi…………

hHHahahaha warumi una mipashooo
 
Umeona binamu eeh? Hilo nalo la muhimu, isije ikawa fununu, inabid nimtafute kijana wa BOT nimpe hiyo kazi halafu aniambie kama kuna ukweli wowote au ni chuki binafsi.

inabidi tukutume wewe....au waonaje?
 
We fuata kilichokuleta humu,
ukijua mi nina Mbo Au K wewe itakusaidia nn? Wewe humu umefuata kujua
jinsia za watu?Au umeambiwa hili jukwaa la jinsia? Kama umekosea njia
pita ivi…………

unanishangaza una kila tabia ya mwanamke wa uswahilini ila ukiitwa wa kike unakataa unadai we ni wa kiume ndo maana unanichanganya.ila kama kweli ww ni wakiume basi nina hakika utakuwa sio r.i.d.h.i.k.i.....
 
Dah ingawa ni tetesi ila amemloga pabaya.....
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa wolper, kila mtu anafanya uchafu pengine hata kushinda wa kwako, na uko sahihi kusema kila mtu ana Uhuru wa kufanya anavyotaka ila kumbuka wewe ni super staa aka kioo cha jamii. Ndo ujue sasa jinsi ya Ku ji behave na kuficha uchafu wako mbele ya Jamii, we jiulize huyo team ukweli anapata wapi habari zako? Jipange upya aiseeh.
Huyu Dada amekuwa mwiba Mkali kwa mastaa wa apa bongo na wote wanaojiita watoto wa mujuni, ni homa ya jiji, watu wanahaha kumfahamu na kujua anapata wapi habari za ndani na za siri kuhusu hawa mastaa wa kibongo?, hakuna anayejua, kila mtu anashangaa na kujiuliza, magazeti na blogs mbali mbali zimekuwa zikimzungumzia yeye. Japokuwa wengi wamekuwa wakimponda na kumuita mzushi na muongo, siku hadi siku followers wanazidi kumiminika kwa ajili ya kupata uji wa moto kuhusu mastaa mbalimbali apa bongo.

Ivi karibuni amefichua siri chafu za mwanadada jackline wolper ikiwemo ile ya usagaji pamoja na ya kukutwa akijiuza uko Nairobi na jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la mwami. Kitendo hicho kimemchanganya sana wolper na kumkosesha amani kwa kufuatiliwa na huyo anayejiita team ukweli na uwazi na kutoa siri zake za ndani.


Hiki ndicho alichokiandika kwenye mtandao wa instagram.

 
unanishangaza una kila tabia ya mwanamke wa uswahilini ila ukiitwa wa kike unakataa unadai we ni wa kiume ndo maana unanichanganya.ila kama kweli ww ni wakiume basi nina hakika utakuwa sio r.i.d.h.i.k.i.....

Nyege zako zimekutoa uko ulipotoka hadi huku kumfuata warumi? Niwe jinsia yeyote ile sidhani kama wewe hiyo inakuhusu . Fanya yaliyokuleta, labda kama una lingine mkuu.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha warumi upo?? kama vipi tuzichange ukatuletee majibu
ila mmmh......

Mzichange binamu, inabidi niwe Yahaya kwa mda,inabid niwe nimuingie kwa gia nafanyia usalama wa taifa ,soon ataingia mkenge
 
Mzichange binamu, inabidi niwe Yahaya kwa mda,inabid niwe nimuingie kwa gia nafanyia usalama wa taifa ,soon ataingia mkenge


binamu nakuaminia saaaana lakini angalia usinase ukashindwa kurudi
 

kwani kishaachana na huyu baby wake mpya ambaye wanauza sura insta?
mwenyewe anamuita "my king"
 
pole sana ndo ufanye jitihada za kutuondolea huu ulalamishi
i can play my part but how abt others yaani mjini pamoja na kuwepo booster zote(dawa za za kuongeza nguvu za kiume) still watu wanashindwa kuzitumia kuwaridhisha wapenzi wao kama nguvu za asili kidogo zinawapiga chenga wanataka wasaidiweje sasa?? ayway na nyie pia mna makosa yenu hamsemi kama hamjaridhishwa mnabaki kutafuta option nyingine.
 
Nyege zako zimekutoa uko
ulipotoka hadi huku kumfuata warumi? Niwe
jinsia yeyote ile sidhani kama wewe hiyo inakuhusu . Fanya yaliyokuleta,
labda kama una lingine mkuu.

ninalo.nakuomba sana uache mambo ya kike, unajidhalilisha na unawapa watu wasiwasi..
 
Last edited by a moderator:
ninalo.nakuomba sana uache mambo ya kike, unajidhalilisha na unawapa watu wasiwasi..

We mwehu kweli, who the ---- do you think you are??, wasi wasi na Mimi wa nini? Una kichaa wewe
 
Na alirogwaaa alimpindua mwenzie mahela akamdhulumu kwa chini panatemaaaaa
 

Msanii nyota kwenye filamu za kibongo tu, Jackline Wolper ameibuka na kusema kuwa anachukizwa na wanafunzi wengi kujiingiza kwenye mapenzi wakiwa kwenye umri mdogo jambo ambalo ni hatari sana kwa future zao.
Akizungumza na Maskani Bongo msanii huyo alisema" Unajua sisi wakati tunasoma hatukuanza mapenzi mapema kama hawa watoto kiukweli mimi nimeanza kujua tendo nikiwa mtu mzima kabisa kwani nilikuwa naogopa sana lakini kwa sasa watoto hawa uwoga hata kidogo utakuta mwanamuziki ana miaka 12 ameshajua mapenzi hii ni hatari sana na akifisha miaka 18 si ndoa atakuwa balaa" Alisema Wolper kwa uchungu.
 
Nyamaza we k maku kama uwanja wa taifa unapiga kelele piga picha tuone shiiiih!!lamaya wa mjini mshaaribu watoto wetu sasa mnapiga kelele?kiimyaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…