wolper Gambe

wolper Gambe

unafikiri nyumba ni mavu.z ukikua tu yanaota.

hivi kunijibu kwa lugha nzuri umeshindwa nn? mbona povu linakutoka kama unahasira na wema? kwani wema kuwa na nyumba ajabu nn? acha wivu wa kipuuzi.umenikera sana ila nimekusamehe.
 
Mmiliki wa nyumba anayokaa wema ni ya shemeji wa rafiki yangu,tena anakaa jirani kabisaa na hyo nyumba,nashangaa anavyojitangazia nyumba yake,pesa anazo nyingi za kuhongwa sema akili hana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

so alivyokua anahojiwa kwenye takeone akijinad nyumba ni yake kumbe sivyo?du!
 
so alivyokua anahojiwa kwenye takeone akijinad nyumba ni yake kumbe sivyo?du!

Naona wolper kaekwa pemben kavamiwa wema, hahahahaha tupen raha udaku si kwa shigongo tu hata humu poa!
 
Mastaa wa bongo ni hovyoo hawana akili wanawaza anasa tu..ngoja wafe km kina kanumba.,tuone aibu zao...unamiliki gari ml200 ht banda huna pfyuuuuu...big up lulu kaona mama yake hana nyumba na uwezo hana bora yy ajenge..wonderful
 
le mutuz amewahi kumtoa kule kwenye blog yake akilalamika wadau kumtosa dallas wakati alikua anawatoa mpunga na gambe. Kwani alikua bakhersa?

Le mutuz wakuangaliwa sana... Isije ikawa na yeye anabebesha punda sembe
 
Back
Top Bottom