Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
namuona hana raha ,,ana furaha ya kuvaa shela tu,au karogwaa ,mchagua nazi sana mwisho hupata koro..
Huyu kaka kaangalia pembeni sura ngumu kweli akigeuka si tutakimbia mweee ndoa hizi kuolewa ili kuwaonesha watu ndio hayaa
Ila bora umeniachia Brown [emoji23][emoji23] lile body linaniua wallahmgeoana na wolper mgependezeana zana
Mme mtarajiwa kakaa kama jambazi khaaa na miwani yake sasa kama lile jambazi lilivua viatu

Hivi kwanini unaependa akuoe hakuoi,unakuja olewa na yeyote tu hata hutarajii,huangalii sura wala nini twendee

Kila la kheri wolper na jambazi lako
 
watu wanaolewa kwa furaha/maamuzi yao, mambo ya kuolewa na flani kwa kuwa tu watu flani wanapenda muwe ivo/mnapendeza ila humo ndani ni majuto kwako ni upuuzi.

kwa kuwa ni mtu mzima naamini kafanya uamuzi sahihi
 
Ndio hivyo sizitaki mbichi hizi zikizidi mwisho wake unaolewa babu kizee!afu huyu si niliskiaga ana sijui harufu ya udi sijui kitu gani vile??!! Embu nikumbusheni
Alaf ww [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] harufu gani hiyo??
 
HAHA HUYU KAKA MBAAAAAAYAAAAAAAAAAAAAAAA ATAKUWA MNYAKYUSA NINI? TUNUNU
 
Naona watakuwa wanasindikizana saluni
 

Mhhhhhhhhhhh!.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…