Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Yaaani wolper ilibakiiiiiiii hiviiiiiiii, tuuuu.... Ila poa hata akiolewa ntamlaaa tu yupo kwenye list yangu
 
View attachment 668356 namuona hana raha ,,ana furaha ya kuvaa shela tu,au karogwaa ,mchagua nazi sana mwisho hupata koro..
Huyu kaka kaangalia pembeni sura ngumu kweli akigeuka si tutakimbia mweee ndoa hizi kuolewa ili kuwaonesha watu ndio hayaa
Ila bora umeniachia Brown [emoji23][emoji23] lile body linaniua wallahView attachment 668360mgeoana na wolper mgependezeana zana
Mme mtarajiwa kakaa kama jambazi View attachment 668363 khaaa na miwani yake sasa kama lile jambazi lilivua viatu

Hivi kwanini unaependa akuoe hakuoi,unakuja olewa na yeyote tu hata hutarajii,huangalii sura wala nini twendee

Kila la kheri wolper na jambazi lako
Huyu mchumba ni bodyguard wa mtu flan hiv ni muuza madawa ya kulevya maarufu ila kwenye muvi si etiiii
 
Back
Top Bottom