nashangaaaaWakati kaka zetu mahandsome balaa[emoji1]
Haha namzingua Mulhat. Wolper mwenyewe sijui anaolewa na naniDaby acha umbea [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kuna u wa lakin hapa may be imejitypeHuu ni mwandiko wako kweli?![emoji12] [emoji12] [emoji119]
[emoji3]Kuna u wa lakin hapa may be imejitype
Janjaro kaniwahi!Yaaani wolper ilibakiiiiiiii hiviiiiiiii, tuuuu.... Ila poa hata akiolewa ntamlaaa tu yupo kwenye list yangu
Alaf ww [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] harufu gani hiyo??
[emoji15] hmm!!Kaniachia mie
watanzania huwa hatuna sura mbaya hivo huyo atakuwa amempendea mashine kwani inawezekana ana mshipa wa nguvu
Katika eneo ninalowakubali wazungu ni hili la ndoa.Huyu dada ana hamu sana na ndoa aolewe tu kwakweli aweke rekodi hata akiolewa leo aachike kesho itakua kishaolewa....
Nnachoshangaa usajiri wake ni ndani ya muda mfupi yani ni kata mti panda mti.
Sura ya bwana harusi nimeielewa
na ndio alikua anamchamba marehemu ndikumana, kwamba ana sura mbaya uwoya alimkubali basi tu....watanzania huwa hatuna sura mbaya hivo huyo atakuwa amempendea mashine kwani inawezekana ana mshipa wa nguvu