Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

Hata Iyobo mliponda sana mwisho wa siku watu wanapeana malavidavi hadi leo na wapondaji sura zimewashuka..

Ili mradi anatimiziwa haja zake za kitandani na anaridhika, mambo ya kisura muachieni Jux
 
hivi kwli huu UGONJWA UPO?wenzie tunaogopa yeye anawapanga kila siku ya MUNGU dushe jipya,,,
 
Kila mmoja anakuwaga na soulmate wake na huwa haijirudii tena kwa kujua au kutokujua unaanza mletea vitimbi hyo analia anaondoka zake akilaumu kukujua kwanini umekuja kwenye maisha yake unadhurula huko kumbe ulimuachaga mme/mke wa maisha yako utateseka mpka unakuwa fala ukiona ata paka wa jirani ni mpole unatamani akuoe/umuoe kuliko binadamu kozi kila mtu unaempata haudumu nae
 
Huyu dada ana hamu sana na ndoa aolewe tu kwakweli aweke rekodi hata akiolewa leo aachike kesho itakua kishaolewa....
Nnachoshangaa usajiri wake ni ndani ya muda mfupi yani ni kata mti panda mti.
Sura ya bwana harusi nimeielewa
 
Shimo la mgodi limebaki wazi kubwa kwahiyo ni lazima lipate mtambo mkubwa wa kukwangua! ila hiyo sura au atakuwa analala anazima taa hata kama wolper ana nyege kwa sura hiyo zinaisha
 
Huyu dada ana hamu sana na ndoa aolewe tu kwakweli aweke rekodi hata akiolewa leo aachike kesho itakua kishaolewa....
Nnachoshangaa usajiri wake ni ndani ya muda mfupi yani ni kata mti panda mti.
Sura ya bwana harusi nimeielewa
Katika eneo ninalowakubali wazungu ni hili la ndoa.

Uwe kwenye ndoa au usiwe kwenye ndoa ni kimpango wako mwenyewe watu hawahukumuniani kwa marital status bali up stairs.

Tena wenzetu ndoa zilivyo na sheria kali za divorce ndio kwanza wazungu hawashobokei kabisa mambo ya ndoa.
 
watanzania huwa hatuna sura mbaya hivo huyo atakuwa amempendea mashine kwani inawezekana ana mshipa wa nguvu
na ndio alikua anamchamba marehemu ndikumana, kwamba ana sura mbaya uwoya alimkubali basi tu....
Sasa ye sijui ndo dah hata sisemi!!!!!
 
Back
Top Bottom