Wolper kaamua kuolewa ili kutukomesha wambea

sie sasa kutokuolewa utadhani ni kasoro, wakati ndoa zenyewe purukushani tu
 
Huyu dada ana hamu sana na ndoa aolewe tu kwakweli aweke rekodi hata akiolewa leo aachike kesho itakua kishaolewa....
Nnachoshangaa usajiri wake ni ndani ya muda mfupi yani ni kata mti panda mti.
Sura ya bwana harusi nimeielewa
Halaf eti huyu kaka ni engine msanii wa music aliimba cover ya mi sikai kimya
 
Ndio hivyo sizitaki mbichi hizi zikizidi mwisho wake unaolewa babu kizee!afu huyu si niliskiaga ana sijui harufu ya udi sijui kitu gani vile??!! Embu nikumbusheni
Panya kafia kati usihangaike huo ndio ukumbusho
 
Ndio hivyo sizitaki mbichi hizi zikizidi mwisho wake unaolewa babu kizee!afu huyu si niliskiaga ana sijui harufu ya udi sijui kitu gani vile??!! Embu nikumbusheni
Watu nouma sana...harufu si yake jamani!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Kaenda kujichagulia atakayoveshwa siku ya ndoa hahaha
wolper mzuri ila sijui ana shida gani huyu
mi hadi sometimes kale ka ishu ka papuchi nahisi kweli, make haendani na hizo hamu za kuolewa hivo anatumia nguvu mno,na kukimbiwa sasa ana nyota ya kuachwa
 
wolper mzuri ila sijui ana shida gani huyu
mi hadi sometimes kale ka ishu ka papuchi nahisi kweli, make haendani na hizo hamu za kuolewa hivo anatumia nguvu mno,na kukimbiwa sasa ana nyota ya kuachwa
Uzuri wa nje wa ndani je upo?
Yaan nahisi alikua hajawahi tamkiwa kuolewa,na pia alikua anafanya show off ili kumuumiza hamonize,,yaan hapo anahisi anamkomoa hamo wakati anaeenda kupambana ndani ya ndoa ni yeye
Mi nashangaa wema,uwoya,wolpa kuolewa na vikapuku,,nilitegemea wataolewa na bonge la bwana,,ina maana wanaume vibopa wanaogopa kuwaoa ama?mpaka wanaolewa na vibenten,,nasubiria wema kama sio hamorapa sijui
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
ha ha ha we ndo bwana harusi mwenyewe nini mbona wajua mambo ya mashine
nimechunguli kwenye bukta na mwanamke ukiona kaipenda sura kama hiyo jua siri ipo kwenye sita kwa sita.huyo hata hisia anavuta gizani ha ha ni kama ndugu wa wassira!!!
 
Muda ambao wanatokea waoaji wenyewe wanakua bado wanakula ujana, wakishtuka taa nyekundu zimewaka sasa ndo inakua hivi sichagui sibagui yeyote atakekuja halali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…