Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
sie sasa kutokuolewa utadhani ni kasoro, wakati ndoa zenyewe purukushani tuKatika eneo ninalowakubali wazungu ni hili la ndoa.
Uwe kwenye ndoa au usiwe kwenye ndoa ni kimpango wako mwenyewe watu hawahukumuniani kwa marital status bali up stairs.
Tena wenzetu ndoa zilivyo na sheria kali za divorce ndio kwanza wazungu hawashobokei kabisa mambo ya ndoa.