Kinamama kama una pesa zako na unataka kufungia ndani Serengeti boy usisikilize walimwengu, kula ile kitu roho inapanda. Si wenzenu wanaume hatuna hizo, mi nikikamata za kutosha nnampa chake mama Gaude akaenjoy maisha kivyake mi nakamata kitoto cha Instagram ili nifaidi maisha yenyewe mafupi haya.