Wolper kumtolea mahari mpenz wake harusi yanukia

Wolper kumtolea mahari mpenz wake harusi yanukia

Habari km hizi bili kapicture inazingua,huyo ben ten wake ni nani?
 
Sisi ME tukioa dogodogo watu kimya, lakini KE wakiolewa na dogodogo nongwa. WHY?
 
Kinamama kama una pesa zako na unataka kufungia ndani Serengeti boy usisikilize walimwengu, kula ile kitu roho inapanda. Si wenzenu wanaume hatuna hizo, mi nikikamata za kutosha nnampa chake mama Gaude akaenjoy maisha kivyake mi nakamata kitoto cha Instagram ili nifaidi maisha yenyewe mafupi haya.
 
Back
Top Bottom