Wolper: Mwanaume atakayeweza kunipa mimba nitamjengea nyumba ya kifahari

Wolper: Mwanaume atakayeweza kunipa mimba nitamjengea nyumba ya kifahari

Sasa ukimtoa kizazi atapata hyo mimba?
Sasa Wolper anatombw..a na wabana pua anadhani atapata Kweli Mimba. Anatiwa na wakina young D, dogo janja..sijui Jina lokole..mara

Atombw..e na Fid Q au Chidi Benz atapata Mimba fasta..unatiwa na wakina Aristote utapata Mimba Kweli?

Anipe mm mamaeee siku moja tu kizazi hakipo..mamaeee
 
Duh ningejitolea tatizo foleni itakua ndefu kwa mwaka itahitaji apite na wanaume 12 ili aweze kujua ila kama amepata.
 
Atakuwa anajijua hana mbegu za kike ndiomaana anauhakika hakuna kidume kitaweza . Ikiwa hana kizazi kwa bahati mbaya Mungu amrejeshee ila ikiwa hana kizazi kwa utukutu wake kisa amaintain urembo wake Vidume vya mbegu tunamgomea na sisi hatutaki kuabika apambane na hali yake
 
Amjengee nyumba kwani yeye hata kiwanja anacho???
 
Mwambieni asafiri mara moja aje hapa Tukuyu.
 
Nyota wa sinema Bongo, Jackline Wolper ameibuka na kutoa neno la kifamilia kwamba, mwanaume atakayeweza kumpa kibendi, yeye atamkirimia kwa kumjengea nyumba ya kisasa yenye mahitaji muhimu ya kibinadamu.

Wolper ambaye kiasili ni Mchaga, ameyasema hayo jana alipokutana laivu na mwandishi wa habari hii, Mikocheni jijini Dar es Salaam.

Alisema kuwa, amekuwa akipata maneno na matamko kutoka kwa watu mbalimbali kwamba, azae sasa, hata mtoto wa kiume.

'Kila nikikatiza maneno ni hayohayo. Sasa mimi nasema, kidume atakayejitokeza akaweza kunipa ujauzito nitamjengea nyumba ya kisasa.

"Nyumba ya vyumba vitatu. Kimoja selfu. Sebule kubwa, toilet ya jumuiya, stoo, bafu na choo ikiwa imezungukwa na ukuta wa ulinzi," alisema Wolper ambaye ukoo wake ni wa Masawe.

Alipoulizwa huyo mwanaume atampataje yeye, alijibu: "Mwenye uhakika anikabili. Mimi nipo." Kuhusu sifa ya mwanaume anayemtaka ampe ujauzito, Wolper alisema 'anayeweza kunipa mimba. Ndiyo sifa namba wani."

Hivi karibuni, mastaa wa filamu Bongo, Aunty Ezekiel Grayson 'Jujuman' na Rose Donatus Ndauka wamejifungua. Wote ni watoto wao wa pili kwenye uzao.
Bado jamii inawatupia macho mastaa hawa wawili, Wema Sepetu, Wolper Kuleta familia zap kwani hata Gigymoney ana mtoto.

Hata Hivyo, mara kadhaa, Wolper amewahi kunukuliwa akidai ni mjamzito. Haijajulikana kama huwa zinatoka au anateleza ulimi. Mungu ndiyo anajua.
Mimi najiweza,sitaki nyumba wala nini yeye aje
 
Sasa Wolper anatombw..a na wabana pua anadhani atapata Kweli Mimba. Anatiwa na wakina young D, dogo janja..sijui Jina lokole..mara

Atombw..e na Fid Q au Chidi Benz atapata Mimba fasta..unatiwa na wakina Aristote utapata Mimba Kweli?

Anipe mm mamaeee siku moja tu kizazi hakipo..mamaeee
Hahahahaaa..
 
Karibu sana Mwakaleli mbeya , A home of fertile Men, utapigwa Bao 15 za kuunga kama intro, Utadaka mimba hata kama Haupo cku za hatari cku hyohyo.
 
Back
Top Bottom