Wolper na Aunty Ezekiel wavuana nguo hadharani, kisa madeni

Wolper na Aunty Ezekiel wavuana nguo hadharani, kisa madeni

Siku moja moja pitia hapa kwangu, una kuja "KAlIA..OO" upate hata "sharubati nziitoo" binamu yangu [emoji39]

ndio naishi hapo KARIAKOO binamu[emoji23]

Nije wapi tena Jaman , Nimeolewa mwenzio binamu , unataka kunivunjia ndoa yangu tena [emoji16], happy Easter
 
Nije wapi tena Jaman , Nimeolewa mwenzio binamu , unataka kunivunjia ndoa yangu tena [emoji16], happy Easter
Aahh!! Binamu kwani ww utamwambia shemeji umekuja KAlIA.. OO!???
Ukishamaliza sharubati unafuta midomo vizuuri wala hujulikani
[emoji3]
 
Sasa aunty Kwan anatunzwa na nani, wakat yeye ndo anatunza serengeti boys
Ndio nimemshangaa hapo .

Tangu lini anty akawa mke wa mtu[emoji16]

Yulee Ni mkwe wetu sote watanzania[emoji1][emoji1787][emoji12]
 
Back
Top Bottom