Wolper na Hamornize watibuana tena

Mama Sabrina

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2016
Posts
16,620
Reaction score
27,589
Eti hamornize kamuimba kwa nyimbo yake mpya ,bibie wolper bibi wa viben10 kamwaga mapovu hayaaa [emoji116][emoji116][emoji116]



nyie watu kama mnapendana rudianeni ,,sasa wolper umejuaje umeimbwa au kiki tu badala ukitulize na huyo rasi wako jomoniii

mwenye nyimbo ya sumu ya hamornize atuwekee hapa tuisikie
Ila wolper ana kiherehere[emoji23][emoji23][emoji23] kwani angenyamaza angekufa ni ushaamba asee japo hiyo ni dalili ya kuwa bado unampenda ati maana huisho kuwaongea hamo na sarah Kardashian [emoji23][emoji23][emoji23]
Ila yule saraha huo uso mrefu aliufanyaje jamani yaan hawezi kuangalia mbele mpaka avae miwani au ndio mioperesheni yao[emoji23][emoji23] ,yaan yule dada picha za kuangalia mbele ya camera mpaka avae miwani lasivyo atageuza shingo pembeni halaf mjanja kweli ni kama zari akitaka kucheka yupo makini kweli kwenye picha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Wapenda ubuyu kujeni mtiririke
geniveros Maserati Linamo Shunie Miss Natafuta dark angel espy
 
Nyimbo ninayo ila nashindwa kuiweka humu nyimbo kali sana
 
Hamornize nae kumbe keshaandika yake zamanii ndio bibie katokwa povu
Na makopa ya bebiii kwa chinii Sarah nae si kwa kumuumiza huko wolper [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hao jamaa wanapendana sema vitamaa vya kuchepuka
 
Yaaani leo siku nzima naisikiliza hii nyimbo huyu mtoto anajua sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…