Wolper na Hamornize watibuana tena

Wolper na Hamornize watibuana tena

Wolper ataishia kuchezewa tuu hakuna mtu.wa kweka ndani huyu kashaharibu material.yote ya kuwa wife
 
Mwanaume kuongea mafumbo kwa mwanamke au kurushiana maneno ya kejeli na mwanamke ni aibu sana, zaidi ni udhaifu mkubwa mno. How come mwanaume uwe hivyo? Hujiamini au? Mwanaume usipotezz muda kujibizana na mwanamke au wewe kuanzisha majibiano nae, inapoteza sifa za uanaume wako. Mpotezee na utafute bora zaidi yake
 
Sijaisikiliza huo wimbo lakini sina mashaka na uwezo wa huyu kijana, hajawahi kukosea hata mara moja from Aiyola,Bado,Matatizo,Nambie,Sina... talented
 
Back
Top Bottom