Mama Sabrina
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 16,620
- 27,589
KHarufu ya nn?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KHarufu ya nn?
Mmh au ananuka kweli papuchi nini?Habari za kunyapia nyapia Wolper na yule serengeti boy wake sasa wameshagawana hamsini hamsini baada ya kiben ten kupost picha ya mahaba akiwa na mwanamke mwingine.
View attachment 601791
Hizi ni baadhi ya picha wakiwa bado kwenye penzi motomoto.
View attachment 601794 View attachment 601795
Aseeeee nna aleji na vben ten,situmiagi mkuu ata kwa dharula hata kwa hela yote SITUMIAGIWw huwa hutangazi kben 10 chako?!
kwakweli UKIMWI anaupendeleo sana mkuu!ukimwi ukowapi usimpitie amezidi
Aseeeee nna aleji na vben ten,situmiagi mkuu ata kwa dharula hata kwa hela yote SITUMIAGI
Mange kimambi alimwambia ila hakumuelewa kwamba utatoka ma watu ambao nafsi yako itakuja kujutia kwa maamuzi ya hasira.Huyu Dada akaoge maji ya baharini haki ya nani
Lkn pia ndo hasara za kufanya maamuzi ukiwa na hasira baada ya kutemwa na Harmonize angepiga kimya kwa muda lkn akakurupuka na haka kajamaa
Ss watu ndo wataamini kama nanihii yake yatoa sijui nn
Ushaur wangu aachane na viserengeti atafute mtu wa heshima mbona ni mzuri huyu mchaga?
Mie ananiudhi
Ila inafika inakiwa too much! Bora hata kwa mwanaume ila kwa KE si nzuri in the long run.Asipotangaza atapotea yeye ni celebrity
Bado hajapona kwamba huko ndo yuko safe. Vijana wa siku hizi si tatizo kutangaza ndoa wakiwa na agenda iliyojificha. Ni suala la wakati tutaona hata Zamaradi hakufanya maamuzi mazuri.Hapa ndio ninapomuona Zamaradi ana akili hakutaka kuchezewa km huyu Wolper
Mange alishamtahadharisha kuruka na mikojo ila hakusikia. Amchambe nini sasa?Mange njoo umchambe shosti wako
Umeona! Halafu bado wanadhani wajanja!amtafutie wapi huyo mtu mzima maana wote wameshtuka na hali ilivyo wamerudi kwa wake zao. Hawa wasanii wamechezea sana ujana wao ndio maana sasa hivi wanaokotwa na kila anayewajaribu.