Wolper na Kiben ten wake wameachana!!!

TE="Nokia83, post: 23801936, member: 200158"][emoji23][emoji23][emoji23]


Una nyanyapaa[/QUOTE]
Hahahaaaa mkuu sio unyanyapaaji.......hiyo mambo ni wito ka si kipaji
Mi sinacho kwakweli
 
Mtoa post kasema uongo# uyo dogo now kanyoa sasa izo nywele zimekua kwa siku mbili# wiki jana nlikutana nae sinza apo uyo jamaa amenyoa #
 
Mange kimambi alimwambia ila hakumuelewa kwamba utatoka ma watu ambao nafsi yako itakuja kujutia kwa maamuzi ya hasira.
 
Hapa ndio ninapomuona Zamaradi ana akili hakutaka kuchezewa km huyu Wolper
Bado hajapona kwamba huko ndo yuko safe. Vijana wa siku hizi si tatizo kutangaza ndoa wakiwa na agenda iliyojificha. Ni suala la wakati tutaona hata Zamaradi hakufanya maamuzi mazuri.
 
amtafutie wapi huyo mtu mzima maana wote wameshtuka na hali ilivyo wamerudi kwa wake zao. Hawa wasanii wamechezea sana ujana wao ndio maana sasa hivi wanaokotwa na kila anayewajaribu.
Umeona! Halafu bado wanadhani wajanja!
 
mwanamke kutiwa tiwa na kila mwanaume ni mbaya sana kimwili na kiroho
 
Kufanya ngono na kila mtu ni kujichumia laana na majanga.

Unajua sex inaambatana na kubeba roho chafu ambazo zinaleta mabalaa kwenye maisha ya mtu kiuchumi, kijamii, kielimu n.k.

Ndio maana kuna watu hawaoi au kuolewa, hawapati watoto, wanafukuzwa kazi, biashara hazisongi mbele n.k.

Ngono holela ni mbaya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…