ObieTrice
Senior Member
- Jun 27, 2017
- 159
- 154
Wolper baada ya kuachana na Msanii kutoka wasafi classic Harmonize sasa yupo na kibenten fulani hivi bishoo full tatoo mkono wake wa kulia na kwenye kifua kachora tatoo ya Wolper.
wolper msanii anayependa kulewa daily amekuwa akipost kila kitu wanachofanya na mpenzi wake huyo.
JE Wolper ni addicted na instagram maana pombe walishaconfirm kuwa addicted?
wolper msanii anayependa kulewa daily amekuwa akipost kila kitu wanachofanya na mpenzi wake huyo.
JE Wolper ni addicted na instagram maana pombe walishaconfirm kuwa addicted?