Wolper, nimechoka kutukanwa kila kukicha

Wolper, nimechoka kutukanwa kila kukicha

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Baada ya kutukanwa matusi ya nguoni kwenye mitandao ya kijamii na blogs, kwa mara ya kwanza staa wa sinema za Kibongo Jacqueline Wolper Massawe, amefunguka na kudai kwamba amechoka kutukanwa kila kukicha lakini pamoja na hayo yote hatingishiki kwa lolote. Habari zilieleza kuwa kwenye mitandao ya kijamii hasa Instagram, Wolper amekuwa akitukanwa kila kukicha huku tetesi zikizagaa mtaani kwamba mwanadada huyo ni msagaji.

Matusi hayo yalikwenda mbele zaidi na kudai kuwa kutokana na tabia yake ya usagaji ndiyo maana hataki kumweka hadharani mwanaume wake. Akizungumza na Ijumaa Wikenda, wikiendi iliyopita, Wolper alisema kuwa ni kweli amechoka lakini anawaachia nafasi watu wanaomchafua kwenye mitandao na hatishiki kwa lolote kwani maneno yao siyo ya kweli na kamwe hatamtangaza mpenzi wake kama ilivyokuwa zamani .

Watukane sana, waseme mimi ni mwanaume lakini mimi ninatambua ninachokifanya, wakichoka wataacha . Kamwe sipo tayari kumweka mwanaume wangu kwenye vyombo vya habari, unajua kwenye mitandao kuna uchonganishi mwingi sana na mtu usipokuwa makini utajikuta ukimchukia mtu bila sababu kutokana na watu kuwa na mitazamo mbalimbali alisema Wolper .


Source: GLOBAL PUBLISHER
 

Attachments

  • 1399288557067.jpg
    1399288557067.jpg
    37.6 KB · Views: 1,940
aendelee tu na mchezo wake wa kuwagegeda wadada wenzie
 
nilimsikiliza jana kwenye Sporah show alikuwa analalamika kuhusu kutukanwa

anaziita #teampopo # zinazomsema

Analalamika anatukanwa lakini hasemi wanamtukanaje , hizi team za instagram zinawapa sana homa mastaa , nilimchek kajala juzi anavyolia kuhusu kutukanwa IG , had jina la huyo mtu akamtaja dah soo sad
 
hvi kutukana watu ndo solution badala wadada washauriane kujikwamua kiuchumi wanawekeana team za kizembe badilikeni
 
Sie wengine hatujulikani lakini tunatukanwa sembuse wolper anajulikanaa,na watu kutukana hawachokii sema kafuliaa
Hivi warumi huyu anamiliki nini siku hiziii maana simsikiii nasikis kusagana tu basi
 
Last edited by a moderator:
Sie wengine hatujulikani lakini tunatukanwa sembuse wolper anajulikanaa,na watu kutukana hawachokii sema kafuliaa
Hivi warumi huyu anamiliki nini siku hiziii maana simsikiii nasikis kusagana tu basi

Ana milik gari mbil Toyota Prado tx nyeupe na mini cooper, nyumba anaishi ya kupanga
 
Last edited by a moderator:
Sasa utathibitishajee mpaka ukamnusee au kwanini asisemwe Lulu ananuka mpaka asemwe yeyee

Si unajua binamu mti wenye matunda?? Ila nikimchekig anavyopigilia pamba za ukweli dah kumbe chin hamna kitu aiseeeh
 
Sijaupataa nimwagiee katemeshwaa gari niniiii hahhhhha

Aaaah wap , kuna mdada anadai anaish sinza anadai uwoya alimtuma afungue account fake IG awe anamtukana wolper badae akahamai kwa wema badae tena kwa batul
 
Aaaah wap , kuna mdada anadai anaish sinza anadai uwoya alimtuma afungue account fake IG awe anamtukana wolper badae akahamai kwa wema badae tena kwa batul

Hahhhahhahha kumbe ni kazii eee nilivyohis ni kwelii kumbe hata hiz team wanalipwaa
 
"Kujulikana kuna mambo" aliimba Sam Mangwana.

Jina jema hung'ara kizani.

Kula kutamu, kulima mavune.
 
Back
Top Bottom