Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,712
Akifa atakuwa yeye siyo wa kwanza, kwanza kifo ni kifo. Afe tu...
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU.
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU.
Mzee kuwaunganishia mabwana na akidedi watapata shidaAkifa atakuwa yeye siyo wa kwanza, kwanza kifo ni kifo. Afe tu...
#NO REFORMS NO ELECTION.
#FREE TUNDU LISSU.
Inabidi nishinde soko la samaki Kama mweiz hivi kabla ya kujitosa baharini.mcheki harmonize kwanza akibe ABC utanishukuru
la posta au la mwanakwerekwe ?Inabidi nishinde soko la samaki Kama mweiz hivi kabla ya kujitosa baharini.
Posta hapola posta au la mwanakwerekwe ?
Wolper angekaa kimya tu.Steve mnaomtukana na kumdharau siku akidondoka alafu tukapitia vitu fulani fulani ndio tutamkumbuka sana"