Ila hainogi maana moja ni changa nyingine ina suguPale kati ainaga umri
We Nifah mtu mbaya sana. Unamkandia Wolper eti kwa sababu tu hivi sasa analiwa na Mmakonde.Wolper kanenepa kawa mbayaaaa.
Wala hapendezi tena.
Yaani kanenenpa saaaanaaa halafu hata hajishtukii kabisa , karidhika huyu b dada!amekua mbayaaa anaonekana kama amevimba vimba usoWolper kanenepa kawa mbayaaaa.
Wala hapendezi tena.
Hapana hapo alikuw na mkongo ndo alijiachia vile c alijua ashapata mume tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaani kanenenpa saaaanaaa halafu hata hajishtukii kabisa , karidhika huyu b dada!amekua mbayaaa anaonekana kama amevimba vimba uso
Au anatumia majira/sindano loo si kwa kunenepa huko ghafla
[emoji15] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]harmonize alipaswa kuwa shule, wolper alipaswa kuwa na watoto sita....
Nashangaa wizara ya mambo ya kusoma inawaangalia tu