Wolper wa Congo vs wolper wa makonde

Wolper wa Congo vs wolper wa makonde

me and I

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2016
Posts
1,540
Reaction score
1,357
Nimeikuta sehemu insta [emoji116] [emoji116]
1472918057043.png

Hapo ni Congo vs makonde[emoji23] [emoji23] [emoji23]

1472918115563.png
1472918129667.png

Hiyo ni Congo

1472918154384.png

Hiyo ni makonde[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee hivi vivulana hivi vinakuzeesha tu
 
Wolper kanenepa kawa mbayaaaa.
Wala hapendezi tena.
Yaani kanenenpa saaaanaaa halafu hata hajishtukii kabisa , karidhika huyu b dada!amekua mbayaaa anaonekana kama amevimba vimba uso
Au anatumia majira/sindano loo si kwa kunenepa huko ghafla
 
ingia uyaone maajabu ya nyumba yetu! Hahaha pole wolper mmakonde chamaki nchanga uyo utapasuka mama
 
Kitambi kile kinajongea,baada ya miaka miwili mbele kama hakufanya cha maana maishani, imekula kwake..
 
Yaani kanenenpa saaaanaaa halafu hata hajishtukii kabisa , karidhika huyu b dada!amekua mbayaaa anaonekana kama amevimba vimba uso
Au anatumia majira/sindano loo si kwa kunenepa huko ghafla
Hapana hapo alikuw na mkongo ndo alijiachia vile c alijua ashapata mume tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom