The Transporter
JF-Expert Member
- Aug 26, 2016
- 3,580
- 7,203
Hahahaa masikini halafu kipind yuko na mkongo alijituliza sana sas hv uuuhhhhHapana hapo alikuw na mkongo ndo alijiachia vile c alijua ashapata mume tena [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji56]harmonize alipaswa kuwa shule, wolper alipaswa kuwa na watoto sita....
Nashangaa wizara ya mambo ya kusoma inawaangalia tu
na huyu anapgwa sana ndogo ndogo mpaka akawa na wasiwasi mkongo akivujisha video ambazo alikuwa analiwa ndogo akataadharsha kwamba tanzania itashangaaWacheni Dogo afaidi kugegeda mtu mzima kuna raha yake bhana
[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1]harmonize alipaswa kuwa shule, wolper alipaswa kuwa na watoto sita....
Nashangaa wizara ya mambo ya kusoma inawaangalia tu
mi hua siwezi kabisa yaani kujiremba au kujifilter yaani napiga picha naweka hvyo hvyoo!Mwanamke kama huyu picha yake isipofanyiwa finishing kwa kupigwa editing za nguvu inaweza kukuondolea mood ya siku kabisa...mana umri unavuta shati ila bado anataka aendelee kuwa binti
Wewe unajitambua hongerami hua siwezi kabisa yaani kujiremba au kujifilter yaani napiga picha naweka hvyo hvyoo!
thanx Niko kama nilivyo na ndo nimeshachelewa yaaniWewe unajitambua hongera
😀Hujachelewa Mr.wako si yupothanx Niko kama nilivyo na ndo nimeshachelewa yaani
najiremba home nikitoka nafuta vyote labda kwenye sherehe😀Hujachelewa Mr.wako si yupo
Ndo inavyotakiwa..wake kama nyinyi TZ hii mmekuwa adimu sananajiremba home nikitoka nafuta vyote labda kwenye sherehe
sipendi kujipodoaNdo inavyotakiwa..wake kama nyinyi TZ hii mmekuwa adimu sana
Yaani ile Pete ilimchanganya Sana akili akajiona yuko ndani ya ndoa, ila sio siri kwa mcongo alipendeza Sana mcongo anajua kulea ila huyu nanjilinji anampa stress tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa masikini halafu kipind yuko na mkongo alijituliza sana sas hv uuuhhhh
Majanga