Wolper wa Congo vs wolper wa makonde

Wolper wa Congo vs wolper wa makonde

Maishani mwangu sijawahi kugo.nga mwanamke aliyenizidi umri. Nishakutana na vishawishi lakini sinaga mzuka. Huwa najiuliza, wanaume wenzangu huwa wanajisikiaje kutembea na watu wanaostahili kuwa mama ama dada zao kiumri. Enewei, kila mtu na mapenzi yake.
 
harmonize alipaswa kuwa shule, wolper alipaswa kuwa na watoto sita....

Nashangaa wizara ya mambo ya kusoma inawaangalia tu
[emoji3] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji1]
 
Kwa mwili wake haitakiwi kunenepa maana ni shapeless
 
Hahahaa masikini halafu kipind yuko na mkongo alijituliza sana sas hv uuuhhhh
Majanga
Yaani ile Pete ilimchanganya Sana akili akajiona yuko ndani ya ndoa, ila sio siri kwa mcongo alipendeza Sana mcongo anajua kulea ila huyu nanjilinji anampa stress tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom