ni hobby pia mi sina hiyo hobiKujipodoa kwa mwanamke sunna shost [emoji3] [emoji3] [emoji108] [emoji108] ila kujiedit Kama hao wasanii ndo sipendag MTU unakuta ni maji ya kunde lakn kwenye insta Kama msomari
Heheheheheheh mkongo alimpendezeshaaaUmeonaee shost hapana chezea mkongo analea hivi vivulana vinakuzeesha tu
shosti upoo??Heheheheheheh mkongo alimpendezeshaaa
Nipo shostitoshosti upoo??
nimekumissss!!na warumiNipo shostito
Hahahha nanjilinji hahahYaani ile Pete ilimchanganya Sana akili akajiona yuko ndani ya ndoa, ila sio siri kwa mcongo alipendeza Sana mcongo anajua kulea ila huyu nanjilinji anampa stress tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Isije kua kakutwa na kupatwa kwa magufuli ooh[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] kapatwa na yy!juzi alisema ana umbea sijamuona sijui yuko wapi?!!
Eti eh? Wewe ambaye ni shapefull tukuone bas.Kwa mwili wake haitakiwi kunenepa maana ni shapeless
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hajaribiwi mheshimiwaIsije kua kakutwa na kupatwa kwa magufuli ooh
Yule Dogo inaonekana utomvu wake unamfanya anenepeWolper kanenepa kawa mbayaaaa.
Wala hapendezi tena.
celebrity kunangwa lazima!!Eti eh? Wewe ambaye ni shapefull tukuone bas.
Mnajifanya kukosoa sana wenzenu, haina tija hyo ndg yangu.