Isaya ezekiel
Member
- Aug 2, 2013
- 6
- 3
Hahahaaaaaaharmonize alipaswa kuwa shule, wolper alipaswa kuwa na watoto sita....
Nashangaa wizara ya mambo ya kusoma inawaangalia tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaaaaaharmonize alipaswa kuwa shule, wolper alipaswa kuwa na watoto sita....
Nashangaa wizara ya mambo ya kusoma inawaangalia tu
nani kawa bonge?Akaa, mbona kawa bonge ivo?
Me mwanzoni nikajua ni mtu mwengine wamefanana tu.
Lol
Kweli!! We muongo hebu tupia moja tuone fahari ya macho haifilisi dukami hua siwezi kabisa yaani kujiremba au kujifilter yaani napiga picha naweka hvyo hvyoo!
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Kweli!! We muongo hebu tupia moja tuone fahari ya macho haifilisi duka
Duh[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji114][emoji114] ngoja niizooom[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] hii hapa
Duh[emoji23][emoji23][emoji23] [emoji114][emoji114] ngoja niizooom
Huyo wolpernani kawa bonge?
wolper au mwanae harmonize?
MashaAllah, nice dress. [emoji173]View attachment 393498huyu hapa
[emoji1] [emoji4]MashaAllah, nice dress. [emoji173]
NimeonaView attachment 393498huyu hapa
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] haya nipe maksiNimeona
Jipendelee mi nakuja kufunga hesabu[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] haya nipe maksi
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4] [emoji4] [emoji1] [emoji1] [emoji85] 10/10Jipendelee mi nakuja kufunga hesabu
Akomeleapo mweyeji na mgeni komea hapo hapo mie mgeni[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji4] [emoji4] [emoji1] [emoji1] [emoji85] 10/10
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shurtii nijipendelee!!Akomeleapo mweyeji na mgeni komea hapo hapo mie mgeni
Hubakishi jamani hata jirani apate la kusema[emoji5][emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] shurtii nijipendelee!!
akaah!ongeza tu kama vipi!Hubakishi jamani hata jirani apate la kusema[emoji5]