Eti eh? Wewe ambaye ni shapefull tukuone bas.
Mnajifanya kukosoa sana wenzenu, haina tija hyo ndg yangu.
Angekuwa analiwa na mwanaukawa ungesema ana shape bomba sana. Tumeshawazoea nyie.Kwa mwili wake haitakiwi kunenepa maana ni shapeless
Angekuwa analiwa na mwanaukawa ungesema ana shape bomba sana. Tumeshawazoea nyie.
Hata mimi ninajiuliza.Ukawa ndio nani?!!!!!!
[emoji3] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we muache ila sema ni stress za kuachwa na mcongo wolper aliemuacha Dallas baada ya kufulia sio wa kutoka na yule mvulana ambae hata matunzo hajuiHahahha nanjilinji hahah
Sema amejiendekeza amesahau kwamba ndan y miaka miwil ijayo atakua amesahaulika
Shapeless ni kisichoonekana. Umekionaje kama ni shapeless?Aaaaahaaaa Wewe itakua mmoja wa hao shapeless Si kwa kuhamaki huko lol....of course mi Na shape yangu Alhamdulilah
Tuko sawa dear.Hakuna kitu sipendi kama kufake...kwanini nijikoseshe raha?Kwanini nitake muonekano ambao sina?mi hua siwezi kabisa yaani kujiremba au kujifilter yaani napiga picha naweka hvyo hvyoo!
Chezea tapeli wewe?Hadi mapenzi yake ya kitapeli.Yaani ile Pete ilimchanganya Sana akili akajiona yuko ndani ya ndoa, ila sio siri kwa mcongo alipendeza Sana mcongo anajua kulea ila huyu nanjilinji anampa stress tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Uwiiiiiiiiiiiii[emoji134][emoji134][emoji134][emoji87][emoji87][emoji87]na huyu anapgwa sana ndogo ndogo mpaka akawa na wasiwasi mkongo akivujisha video ambazo alikuwa analiwa ndogo akataadharsha kwamba tanzania itashangaa
Nashukuru sana na watu wangu wananielewa kujiremba naona nshashindwaTuko sawa dear.Hakuna kitu sipendi kama kufake...kwanini nijikoseshe raha?Kwanini nitake muonekano ambao sina?
Kapotea pale,kujidhalilisha tu.[emoji3] [emoji3] [emoji3] stress akaamishia umakondeni
Mimi filters na camera ganigani ndio huwa situmii...Nashukuru sana na watu wangu wananielewa kujiremba naona nshashindwa
Usiku tu wengine mchana kama majinn maimuna!Mimi filters na camera ganigani ndio huwa situmii...
Ila kujiremba huwa najiremba kidogo sana,hasa nikitoka usiku.
Ila mchana hata nikijiremba hutojua.
Nilijua tu uzi huu lazima nikukute,,,,nipe ubuyu mpya mama wa instaWolper kanenepa kawa mbayaaaa.
Wala hapendezi tena.