Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Ila nyama nyama tu kajaaliwa,mashallahWolper kanenepa kawa mbayaaaa.
Wala hapendezi tena.
Aise haka kaubuyu nilikatoa kwa mshikaji anaemfanyiaga wolper baadhi ya kazi zake,,,,wolper alikuwa anakaa mikocheni b sasa alivohama na kuhamia k,nyama mayonaise nae alitia maguu na kuanza kusogeza nae siku,,,ila nasikia ghafla jamaa aliondoka na kwenda madalle nj baada ya hbari za mkongo kutia maguu pia kuna pedeshee mmoja ambae alimtoa chadema na kumpeleka ccm,,,nae nasikia aliacha hela na gari naona mayonaise yamemfika hapa.Weee em tupe ubuyu[emoji39] [emoji39] [emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haloo wolper habari nyingine yule hachelewi kukuuza, sorry for nanjilinji boyAise haka kaubuyu nilikatoa kwa mshikaji anaemfanyiaga wolper baadhi ya kazi zake,,,,wolper alikuwa anakaa mikocheni b sasa alivohama na kuhamia k,nyama mayonaise nae alitia maguu na kuanza kusogeza nae siku,,,ila nasikia ghafla jamaa aliondoka na kwenda madalle nj baada ya hbari za mkongo kutia maguu pia kuna pedeshee mmoja ambae alimtoa chadema na kumpeleka ccm,,,nae nasikia aliacha hela na gari naona mayonaise yamemfika hapa.
Yule dogo kabemendwa hadi huruma,tusubiri anaeza mtungia wimbo[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] haloo wolper habari nyingine yule hachelewi kukuuza, sorry for nanjilinji boy