Woman for a long term relationship

Woman for a long term relationship

Kwa dada aliechoka na upweke , na Alie tayari kuanza mahusiano ya muda + NDOA, mwenye sifa hizi:
Dini ; Mkristo
Dhehebu : Christian,
Kabila: Lolote
Elimu : Angalau F4
Mfanyakazi au mfanyabiashara
Mkazi : WA Dar / Moro / Tanga / Pwani
Umri : 28 na kuendelea
Awe tayari Kwa HIV check up
Awe tayari kuanza family life

MIMI
Naishi Dar, Mjasiriamali, Mkristo, niliechoka na upweke,

Serious Lady over here!?
KARIBU TUYAJENGE
Dini na dhehebu!Utapata tu.Inshaallah!
 
MTU ukiwa na njaa ya wanawake unajisemea, Mimi yoyote tu ili mradi nyege ziishe hata Kama ana miguu Kama ya Bata.. Ukishampata huyo kisokolokwinyo na nyege zikaisha ndio utagundua, Hana chura, hajui kupika, anaongea Sana, Ni mmakonde , ananuka mdomo, halafu ukiangalia nje unaona chura, miguu ya chupa ya bia, hapo matamanio yanaanza na kuchepuka kunaanza.
 
Everyrhing starts when you think rotten from your head....
Inategemea unaongea lugha gan na kichwa chako,
Kwan hao kisokolokwinyo wasio na chura hawastahili kuolewa na kuheshimiwa!? Hivi watu wanaona chura?? Hii hata kwenye maandiko haimo[emoji19][emoji19]
 
Mark my words, wanawake wakutafutia kwenye mitandao Ni Kama wale unaowapata kwenye bar, mchiriku, vigodoro na sindimba. Wote maadili Ni zero ndio maana nawaita visokolokwinyo.

Oa kisokolokwinyo miezi mitatu ya ndoa mingi mtakua mshaachana.
 
Wewe wasema.....haya
 
Siyo kweli, mbona kuna confessions humu watu wamepata wenzi wao na maisha yanasonga, je wewe uliye humu kwenye mtandao hauishi huko mtaani? Una tofauti yoyote? Maana yangu ni kwamba watu wa mitandaoni ni hao hao waliopo mitaani, muhimu kuwa makini, unaweza ukapata mtu mwema or mbaya mitandaoni , the same hata mtaani pia. Good morning mkuu.
 
Mimi naconfess humu nimempata Bibi. Bibi yangu kipenzi financial services

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom