Woman gives birth over the Atlantic during a flight from Africa to the US

Mtoto aitwe Atlantis
 
Sio mpenzi Sana wamajibizano ya Aina hii Ila itoshe kusema kwamba kila mzazi asimamie kwa anachokiamini
 
So technically huyo mtoto anakuwa na uraia wa marekani ? Au country of birth itakuwa ni "Stateless "?
Huyo mtoto ni raia wa marekani. Kwa taratibu zao kama utajifungulia njian mda unaenda marekani ata kama utakuwa ujafika huyo mtoto wanamconsinder sawa na mtoto aliezaliwa ndani ya marekani.
 
So technically huyo mtoto anakuwa na uraia wa marekani ? Au country of birth itakuwa ni "Stateless "?

Kwa sheria za kimataifa hapo mtoto anaweza kuwa na uraia wa wazazi au uraia wa Ndege/meli aliyopanda au mpaka aliokuwepo

Kama ni Juu ya bahari basi mzazi ataomba uraia wa hiyo ndege apewe mtoto wake au wa kwake

Sasa ndege iwe yetu halafu mzazi wa majuu sikubali

Hili jibu nilisikia kwenye Radio moja LBC ambapo mtu anauliza swali lolote
 
Hatari kweli kweli , kuna mwingine alizaliwa baharini , katikati huko kwenye international water.. , PASSPORT anayomiliki ni Stateless
 
Labda alikuwa anamwili ambao haukonesha vizuri,
Nafikri aliplan arudi US fasta ili mtoto apate urai wa huko?
Habari inaonyesha kuwa alitoka US kwenda Ghana kikazi, na alikuwa anarejea anakoishi.
 
So country of birth kwenye PASSPORT atajaziwa Stateless, au US, maana kzaliwa angani huko?
Nilishaeleza, usajili wa ndege unaashiria nchi iwapo angani. Kwa hivyo kuzaliwa ndani ya ndege iliyosajiliwa US ni sawa na kuwa amezaliwa US.
 
Labda alikuwa anamwili ambao haukonesha vizuri,
Nafikri aliplan arudi US fasta ili mtoto apate urai wa huko?
Itakuwa hivyo mkuu, "Birth Tourism"(kama mama hakuwa raia wa marekani)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…