Women are trouble makers

Women are trouble makers

Natafuta Ajira

JF-Expert Member
Joined
Mar 25, 2020
Posts
9,016
Reaction score
24,650
Mwanaume lazima utambue kwamba mwanamke ni taswira ya matatizo, from the first place a woman existed on the earth all she brought along is troubles.

Angalia majanga aliyosababisha Hawa bustanini pale Eden, angalia msala aliokutana nao Samson baada ya kukutana na Delila.

Hauwezi kusikia mume kuwa chanzo cha utengano upande wa familia ya mke, mara zote mke ndie anakua chanzo cha mifarakano upande wa familia ya mume.

Familia itakua na mshikamano, biashara itaenda vizuri, amani itatamalaki lakini akishaingia mwanamke tu katikati kila kitu kinavulugika.

Role inayowafaa wanawake ni kuwa mama wa nyumbani tu, wabakie kuzaa, kulea na kuangalia nyumba. Mwanamke akijumuishwa kwenye mambo mengine kama ufanyaji maamuzi, biashara, uongozi n.k lazima asababishe majanga.

Mwanamke hawezi kuja na solution mezani, women always brings problems, wewe mwenyewe linganisha kipindi ambacho haukua na mahusiano na kipindi ulikua katika mahusiano ni kipindi gani ulikua unaishi bila stress.

Women are trouble maker specialists, they always look for loopholes to cause problems, don't take them seriuos. If you decide to marry her then marry at your own risk.
 
Mimi na ndugu zangu tulikua tunaishi poa sana, hatujawahi kuwa na ugomvi wala mfarakano wowote.

Nina ma bro wawili na dada wawili. Shughuli ilianza huyo bro wangu wapili alipooa.

Mke wake akaanzisha ugomvi usio na kichwa wala miguu na mke wa bro mkubwa. Ugomvi ukaenda mbali mpaka kuna siku wameshikiana mapanga wanataka kukatana! Tukawaamulia, wakapatanishwa.

Kumbe kichinichini ugomvi ukawa unaendelea. Huku na huku waume zao nao wakatumbukia kwenye hilo sakata, ikafika mahali sasa ma bro wote wawili na wake zao hakuna anaeongea na mwenzake!

Haikuishia hapo, huyu mke wa bro mdogo kuna siku akapiga simu kwa dada yangu na kumueleza ishu fulani nzito kuhusu bro (mumewe). Dada zangu wawili ikabidi waende kuongea na bro kuhusu hilo tatizo. Kufika kule, yule mama kawaruka kasema yeye hajawahi kuwaambia kitu kama icho, wanamsingizia.! Bro nae kamaindi, anawaona dada zake kama ma snichi wanataka kumharibia ndoa yake!

Hapa tulipo sasa hivi hakuna anaeongea na mwenzake familia nzima.
 
😂😂😂😂😂😂 inakuwa kama amekuja shetani et watu wanagombanaje wakiwa wanaish mbali mbali???
 
Ni lazima iwe hivyoo mwanamke akiolewa akifika tu hataki ajue unawasaidia ndugu zako au upo karibu yao lazima ataweke mazingira yaubnafsi so lazima utokee ugomvi na kia mtu akae kwake. Ni kawaida kwa mume na mke wote ni trouble makers wakushaungana hawataki usumbufu wanataka waishi wao kama wao
 
Mwanamke ndie anakuaga na shida. Nina dada zangu wameolewa na kaka zangu wameoa. Chokochoko huwa zinatokaga kwenye ndoa za wakina kaka via mkewe, kwenye ndoa za wakina dada mashemeji hawana noma ni watu peace sana.

Kwenye suala la kipato hapo umekuta mumeo ashajipata uktaka kuhodhi umiliki nanwewe ndio upewe kipaumbele zaidi bila kufikiria ndugu zake ndio walikua nae bega kwa bega katika mapito yake magumu lazima ilete shida.

Sawa ni mkewe una haki na kipato chake lakini wekeni pembeni ubinafsi wenu katika ilo mkubali na ndugu zake pia wana haki na vijisenti vya kaka yao.
 
Ni lazima iwe hivyoo mwanamke akiolewa akifika tu hataki ajue unawasaidia ndugu zako au upo karibu yao lazima ataweke mazingira yaubnafsi so lazima utokee ugomvi na kia mtu akae kwake. Ni kawaida kwa mume na mke wote ni trouble makers wakushaungana hawataki usumbufu wanataka waishi wao kama wao
Sisi kila mtu anakaa kwake, na kiuwezo kila mmoja anajiweza hakuna anaemtegemea mwenzake. Infact mimi na bro mkubwa tuko vizuri zaidi kiuchumi kuliko huyo mumewe. Yeye japo ana kipato kizuri, ila ni mlevi sana hela anamalizia kwenye pombe.

Sasa somehow mkewe anaona kama sisi tunahusika na matatizo yao ndio kuanzisha mabifu yasiyoisha kila siku.
 
Mwanamke ni kiumbe kizuri kilichoumbwa kwa mfano wa kupendeza, shida inakuja wanaume the way mnavyowatreat hapo ukishindwa kuishi nae kwa akili lazima awe trouble maker.!!
Wanawake hua mna matatizo sana kwenye kuishi na watu wengine.

Wanaume 10 tunaweza kuishi kwenye nyumba moja na kusiwe na mgogoro wowote. Ila wanawake wawili tu hamuwezi ku co-exist.
 
Sisi kila mtu anakaa kwake, na kiuwezo kila mmoja anajiweza hakuna anaemtegemea mwenzake. Infact mimi na bro mkubwa tuko vizuri zaidi kiuchumi kuliko huyo mumewe. Yeye japo ana kipato kizuri, ila ni mlevi sana hela anamalizia kwenye pombe.

Sasa somehow mkewe anaona kama sisi tunahusika na matatizo yao ndio kuanzisha mabifu yasiyoisha kila siku.
Dah basi anashida eh Mungu naomba niolewe kuzuri mimi shida yangu ni kuwa na ndugu wapande zote kwangu wanakaa tu huna uhuru hata wakujiachia na mume tokea mtoke honeymoon mpaka mfe
 
Back
Top Bottom